INSTAGRAM LIVE INTERVIEW with Dr. SAIID SAID.
Habari rafiki. Leo saa 21:30 usiku kwa mara ya kwanza nitakuwa nikifanyiwa interview na Dr. Saiid Said ambaye ni mtaalamu wa biashara ya mtandao (online marketing) kupitia kampuni yake ya “onlineptofits”, Huyu ndiye mtu ambaye alinisaidia kufikia hatua kubwa sana katika biashara yangu kupitia kozi yake niliyonunua online inayoitwa “Facebook-Insta course” ambayo imenipa manufaa makubwa sana.
Nitakuwa live kupitia instagram katika darasa lake analolifanya leo, kama unahitaji kujua nimepitia njia gani kufikia hapa nilipo unaweza kuhudhuria mahojiano hayo.
Kwanza hakikisha unanifollow instagram sasa hivi ili nitakaposhea live uweze kupata taarifa na kujoin. Follow me kupitia @piusjustusmuliriye
Interview hii ya leo inaweza kubadilisha maisha ya mtu siku ya leo, usipange kukosa!!!!
Pius J. Muliriye
0717375782 – Whatsapp