Pius Justus

DARASA: JINSI YA KUTENGENEZA BIDHAA ZA VIWANDANI.

Habari rafiki mpenda maendeleo, sasa darasa letu liko wazi kwa sasa. Utajifunza utengenezaji wa bidhaa mbalimbali za viwandani kama vile BATIKI, SABUNI YA KIPANDE pamoja na bidhaa nyigine nyingi. Kama uko tayari bonyeza HAPA kuingia darasani. Asante kwa kusapoti kazi yangu, naamini utafanikiwa katika hili. Wasiliana nasi  Whatsapp only | 0717375782        

DARASA: JINSI YA KUTENGENEZA BIDHAA ZA VIWANDANI. Read More »

JINSI YA KUTENGENEZA BATIKI PART 1

Jifunze jinsi ya kutengeneza batiki kwa njia rahisi kabisa. Kama utapenda kozi hii basi kuna video nimekuandalia mwanzo mpaka mwisho wa jinsi ya kutengeneza batiki aina nyingi ikiwemo Muundo wa sambusa, muundo wa mkeka, bleech, na nyingine nyingi zinakuja. Kuingia darasani bonyeza picha hapo juu itakupeleka moja kwa moja kwenye darasa letu.  Unaweza kusikiliza utangulizi

JINSI YA KUTENGENEZA BATIKI PART 1 Read More »

MISINGI (3) YA KUWEKA JUHUDI KUFIKIA MAFANIKIO YAKO.

Nafahamu ya kwamba kila mmoja anafanya mambo mbalimbali kama vile kusoma, kufanya biashara, na kutoa huduma mbalimbali. Lakini yote hayo huleta  matokeo chanya  endapo utaweka juhudi za kweli katika endaji wako na kinyume cha hapo utakuwa unashindwa.  Watu wengi huwa tunafanya vitu ili mradi tu, siyo kama tunapenda kufanya vitu hivyo ila kwa kulazimishwa tu

MISINGI (3) YA KUWEKA JUHUDI KUFIKIA MAFANIKIO YAKO. Read More »

MAMBO NANE (8) MUHIMU SANA YA KUFAHAMU KABLA YA KUTENGENEZA BATIKI.

Habari rafiki yangu, naamini unaendelea vizuri na mapambano ya kuboresha maisha yako.   Kama ilivyo kawaida yangu nakufunulia fursa mbalimbali ambazo ukiamua kuchukua hatua unaweza kubadili maisha yako kabisa. Cha msingi sana ni kuchukua hatua. Leo nakuletea fursa ya kutengeneza batiki, fursa ambayo si wengi sana wanaijua kwa maana ya jinsi ya kutengeneza, hata kama

MAMBO NANE (8) MUHIMU SANA YA KUFAHAMU KABLA YA KUTENGENEZA BATIKI. Read More »

NJIA TANO (5) BORA ZA KUKUZA BIASHARA YAKO.

Moja ya changamoto kubwa inayowakumba wafanyabiashara walio wengi ni kutokujua kiundani juu ya biashara zao. Kutokana na changamoto hiyo ya kutokujua kiundani biashara zao, wafanyabiashara hao walio wengi hujikuta biashara zao huwa haziwi za muda mrefu na hata pale zinapokuwa za muda mrefu huwa hazikui. Naamini kwa kuwa lengo lako ni kukuza biashara, ni vyema

NJIA TANO (5) BORA ZA KUKUZA BIASHARA YAKO. Read More »