JINSI YA KUTENGENEZA CHAKI.
JINSI YA KUTENGENEZA CHAKI. Read More »
Je umeshawahi kujiuliza watu wanatengenezaje pesa kupitia YOUTUBE?? Je ungependa na wewe kutengeneza pesa kupitia Youtube???
TENGENEZA PESA KUPITIA YOUTUBE Read More »
Sasa unaweza kununua kitabu hiki moja kwa moja kwenye simu yako. Bonyeza HAPA kununua kitabu hiki. VIDEO: JINSI YA KUNUNUA KITABU HIKI.
KITABU: MILIKI KIWANDA MILIKI UCHUMI Read More »
Habari Rafiki, unaendeleaje??Nina imani unaendelea vizuri sana, na bado upo katika harakati za kuboresha maisha yako, nipende kukutia moyo tu, kuwa uko katika hatua nzuri ya kufikia mafanikio yako, kwani ili kufikia mafanikio ni lazima kufanya kazi kwa bidii na akili pia.Katika makala yetu ya siku ya leo ninapenda kugusia ni jinsi gani utafaidika na
JINSI YA KUPATA FAIDA HADI MILLION 1 NDANI YA SIKU 30 KUPITIA MTANDAO WA INTERNET! Read More »
Moja ya mtaji mkubwa ulionao kwenye maisha ni Upekee wako.Tatizo la wengi ni kuwa wanazaliwa hadi wanakufa hawajajua Kitu cha pekee walichonacho.~~~~~~~Kwenye kitabu chao cha “Now,Discover Your Strength”(Sasa,Gundua nguvu yako) waandishi Marcus Buckingham na Donald O. Clifton wanasema kila mtu ana uwezo wa kipekee ambao ni zaidi ya watu Elfu kumi wa karibu yake.~~~~~~~Unapogundua eneo
Nilikutana na huyu mtu James mwang’amba back 2009, alikuwa akifundisha somo la self development kwa wanafunzi wa vyuo vikuu na nilipata bahati ya kuhudhuria mafundisho yake kwa siku 2 mfululizo! Alizungumza kitu ambacho kili stick katika kichwa changu ambapo alisema USISUBIRI MPAKA MAMBO YAWE SAWA KUPIGANIA NDOTO ZAKO!! Kwa mara ya kwanza sikumuelewa kabisa, kwa
DON’T WAIT UNTILL THINGS GET READY! Read More »
Hellow Rafiki, natumai unaendelea vizuri na harakati za kukomboa maisha yako, naamini kabisa unafanya juhudi za makusudi kufikia lengo hilo, na nikupongeze sana sana! Kama ambavyo nimekuahidi kuwa nimekuandalia kozi maalumu ambayo itakusaidia wewe kama kijana ambaye una malengo makubwa sana katika maisha yako. Kozi hii ni moja ya kozi muhimu sana ambayo itakusaidia kupiga
MAFUNZO BURE [JINSI YA KUTUMIA MTANDAO WA INTERNET KUANZISHA AU KUKUZA BIASHARA YAKO] Read More »
Habari rafiki, natumai unaendelea vizuri na harakati za kukomboa maisha yako na kuelekea katika uhuru wa kifedha. Katika mfululizo wa mada zetu juu ya jinsi ya kutumia mtandao wa internet kibiashara leo hii ninakuletea mada inayozungumzia Saikolojia ya watu walioko katika mitandao ya kijamii.Kama tunavyojua, katika mitandao ya kijamii ni sehemu ambako watu hukutana na
SAIKOLOJIA YA WATU KATIKA MITANDAO YA KIJAMII Read More »