uwakala
KITABU MUHTASARI WA KITABU Biashara ya uwakala wa fedha ni mojawapo ya fursa kubwa za ujasiriamali zinazokua kwa kasi. Kitabu hiki kinatoa mwongozo wa kina kuhusu jinsi ya kuanzisha na kuendesha biashara ya uwakala wa pesa kwa njia ya simu, benki, na huduma za malipo kama LIPA NAMBA. Katika kitabu hiki, utajifunza: Utangulizi wa Biashara […]