TENGENEZA PESA MTANDAONI.

Mtandao umekuwa ni mkombozi mkubwa sana katika maisha yangu na umenisaidia kutengeneza pesa nyingi sana ambazo sikuwahi kufikiria maishani. . . Siku ambayo nilifanya maamuzi ya kujifunza jinsi ya kutumia mtandao wa internet kutengeneza kipato, ndipo nilipoona njia ya mafanikio. . Na siku nilipoanza kufanyia kazi mbinu nilizojifunza ndio ilikuwa siku ya ukombozi kwangu kwani […]

TENGENEZA PESA MTANDAONI. Read More »