Wajibu wangu ni mmoja tu wa kukuletea fursa za biashara ambazo zinaweza kubadilisha maisha yako kabisa kutoka hapo ulipo mpaka pale ulipopatarajia.
Baada ya kuandika kitabu changu cha JINSI YA UTENGENEZAJI WA BIDHAA ZA VIWANDANI leo nakuletea kitabu kingine ambacho kimeelezea kwa kina kabisa UTENGENEZAJI WA CHAKI zinazotumika mashuleni na jinsi zinavyoweza kukuletea faida kubwa kwa mwezi.
? Katika kitabu hiki, utafundishwa jinsi ya kuanzisha kiwanda hicho kidogo nyumbani kwako na utaelekezwa ni mashine gani rahisi na za bei nafuu zinaoatikana wapi hapahapa Tanzania.
? Ndani ta kitabu hicho utaona mchanganuo wa biashara hiyo na jinsi utakavyofaidika kwa kufanya biashara hiyo.
? Pia kitabu kitakuelezea ni sehehemu gani utapata materials ya kutengeza chaki hizo hapa hapa Tanzania, na malighafi zake ni mbili tu au tatu na zinapatikana kwa urahisi sana.
- ? Kitabu hiki kimetengenezwa kwa mfumo wa PDF ambao unaweza ukasoma kwenye simu yako, na tutakutumia kwenye simu yako kwa njia ya Whatsapp au Email yako.
? Kitabu hiki utakipata kwa Sh. 5000/- Tu, na utalipia kwa MPESA 0754745798 au TIGOPESA 0657128567 PIUS MULIRIYE
Wasiliana nasi kwa namba zifuatazo
Pius Muliriye Justus
0754745798
0657128567
Habari nilinunua kitabu hicho ukanitumia PDF lakini kimefutika baada ya simu kuharibika je unanaweza kunitumia copy au Hadi nikinunue Tena maana ulininunulia Hadi mashine ya chaki ya matundu 200 Toka Uganda
Nitumie ujumbe whatsapp nikutimie copy nyingine 0754745798