BADILI MAISHA YAKO KWA KUFANYA HAYA

BADILI MAISHA YAKO KWA KUFANYA HAYA.

Chukua hatua mtanzania kwa kuwekeza katika viwanda vidogo na ufikie malengo yako.

Pata mafunzo ya jinsi ya kutengeneza bidhaa mbalimbali zenye kuhitajika na jamii kila siku kwa kutumia technolojia rahisi sana. kitabu hiki cha UTENGENEZAJI WA BIDHAA ZA VIWANDANI kimeandaliwa kwa ufanisi mkubwa sana kwa ajili yako.

Bidhaa mojawapo ni jinsi ya kutengeneza TOMATO SOURCE inayotumika kama kiungo kwenye chips.

Unaweza kutengeneza pesa nyingi sana ndani ya muda mfupi kabisa, soko ni kubwa sana hapa Tanzania, kila duka unalojua wewe jirani yako wanauza bidhaa hizi, kwahiyo una soko kubwa sana ukiweka misingi mizuri ya uwekezaji na usambazaji.

Malighafi kubwa ni NYANYA na malighafi nyingine zimeelezwa kwenye kitabu.
Wakulima wengi wanakosa masoko ya nyanya zao na kuzitelekeza na kuoza kumbe unaweza kuzibadili na kuwa bidhaa muhimu na ikakutajirisha.

Kazi yangu ni moja tu, kukufundisha jinsi ya kutengeneza bidhaa hii pamoja na bidhaa nyingine zaidi ya 10 ndani ya kitabu kimoja.

Jipatie copy yako sasa kupitia simu yako popote ulipo na uanze safari hii ya mafanikio. Usiweke vikwazo mbele, AMINI  unaweza kufanya maajabu.

Kitabu hiki utakipata kwa njia ya email au whatsapp kwenye simu yako na utaweza kukisoma kwenye simu, i pad au compyuta yako. Au unaweza download kitabu hiki moja kwa moja kwa kubonyeza picha hii hapa chini.

Unaweza pia kuangalia video hii inaweza kubadili maisha yako pia kama ukichukua hatua madhubuti.

Tembelea blog yetu
www.shuletanzania.info
piusjustus28@gmail.

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *