TUNASOMA ILI TUJE TUWE HIVI;

Habari rafiki yangu.
Naamini kama hauko chuoni au shuleni basi uko kazini au uko mtaani unasota kutafuta ajira. Nikutakie kila lakheri ili ufanikiwe katika kile unachokitafuta.
Naamini kila mtu ana malengo ya kufanikiwa katika maisha, ndio maana watu tunasoma sana ili tupate degree na tuajiriwe na tulipwe vizuri, nataka nikupe siri tu, hata uwe na degree ngapi zenye GPA 4.0 bado utakuwa kama picha inavyoonyesha hapo.
Mshahara unaoupata usikupe kiburi, hiyo ni chenji tu unayopewa baada ya wenyewe kuchukua chao…. Huu sio muda tena wa kulalamika, tuamke, tafuta kitu cha kufanya huku ukiendelea na ajira yako na hatimaye uwe bosi mwenyewe na uwapangie mishahara wengine.
Tembelea blog yangu ya www.shuletanzania.info ujifunze jinsi ya kuanza na kidogo ulicho nacho ili ufikie pale unapopataka kimaisha.
#ShuleTanzania ni zaidi ya shule, njoo upate degree yenye maana kubwa sana katika maisha yako.
Pius J. Muliriye
0754745798
0657128567
piusjustus28@gmail.com

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *