Habari rafiki, Natumai hujambo na unaendelea na harakati za kuboresha maisha yako.
Leo napenda nikushirikishe kitu muhimu sana katika mafanikio.
Ili ufanikiwe unahitaji mambo matatu muhimu nayo ni;
- Wazo
- Watu na
- Fedha
Isivyo bahati mbaya mambo haya matatu huwa hayaji yote kwa wakati mmoja.
Utakuwa na wazo lakin huna watu ama huna fedha. Au Utakuwa na watu lakin huna fedha na huna wazo. Anza Tu,Usisubili vitimie vyote hivyo kwani kila kimoja huja kwa wakati wake.
Chukua hatua, Anza sasa.
Wasiliana nami;
Pius J. Muliriye
0754745798-whatsapp
0657128567
piusjustus28@gmail.com