PATA FAIDA YA HADI 10% MPAKA 15% NA KAMPUNI HII

Habari Rafiki yangu mpendwa na msomaji wa makala zangu katika mtandao huu wa Shule Tanzania. 
Nimekuwa nikiandika makala mbalimbali kuhusu mtu kujitambua na kuweza kutumia kile kilicho ndani yake kufanya mabadiliko katika maisha yake. 

Naamini umekuwa ukipata mafunzo haya mara kwa mara na umekuwa ukichukua hatua, kama ni mtu wa kusoma tu halafu huchukui hatua basi ni muda wa kuacha kufatilia mtandao huu kwani haukufai na wewe si mmoja wa watu ambao nimewalenga hasa. 

Nimekuwa nikipokea mrejesho kutoka kwa watu mbalimbali, kutoka kila pande za nchi hii kuwa wameelimika na wameanza kuchukua hatua, kama ni mmoja wao basi hongera sana.

Kutokana na wimbi la ukosefu wa ajira kwa watanzania wengi hasa wale waliomaliza vyuo vikuu nilifanikiwa kuandika makala nyingi za kuwahamasisha kuanza kuchukua hatua za kujiajiri, lakini walio wengi wamekuwa wakinitukana kuwa kwanini nawaambia wajiajiri na wakati serikali imewasomesha inabidi iwape ajira, nimekuwa nikiwaambia sasa ni miaka miwili uko mtaani, basi kama kujiajiri ni sumu kwako basi endelea kusubiri,  na wengine pia wamekuwa wakinishukuru na wamekuwa wakichukua hatua na sasa ni wafanya biashara wazuri tu. 

Kwa kutambua kuwa watu wengi hasa wanavyuo wanapotoka vyuoni huwa hawana elimu ile ya ujasiliamali na wala hawajajifunza chochote kuhusu ubunifu, nikaamua kuandika kitabu ambacho kinawafundisha ujuzi mbalimbali hasa uzalishaji wa bidhaa mbalimbali ikiwemo Sabuni za mche, za maji, za chooni, batiki, na nyingine nyingi zaidi ya 15. wengi walihamasika sana na wakanunua hicho kitabu ambacho nilikitoa online na wakakipokea kwenye simu zao na wakakifanyia kazi, na wengi sasa wameanza kuzalisha bidhaa hizo na wanafanya vizuri sokoni. Kama unahitaji kitabu  hicho bonyeza maandishi haya. Tafadhari usiache kuchukua hatua, itakusaidia sana na naamini ipo siku utanikumbuka. 

Baada ya kusema hayo; naomba niende kwenye mada iliyonisukuma kuadika makala haya;

Mimi ni mmiliki wa kampuni ambayo inafanya kazi ya ujasiliamali kwa vitendo kabisa tofauti ya wale wanaofanya kazi ya kuzungumza tu. Kampuni yangu inajihusisha na uzalishaji wa bidhaa mbalimbali na tunamiliki kiwanda ambacho kinafanya kazi takribani kila siku. 

Kati ya bidhaa ambazo zinazalishwa na kapuni yetu hiyo ni kama Sabuni za aina zote, yaani za Maji, za mche, za kuoshea magari, za kuoshea vioo, za kusafishia vyooni (disfectant) n.k. Pia tunatengeneza uga wa Lishe wa watoto, tuna mpango wa kuaza kuzalisha Tomato source. Lakini pia tunazalisha bidhaa kubwa ambayo ni kama uti wa mgongo wa kampuni yetu, na bidhaa hiyo ni POCHI ZA KIKE. Tunazalisha kwa wingi sana na tunauza kwa bei ya jumla katika mikoa mitatu mpaka sasa. Tunauza Mwanza, Shinyanga, Tabora, Kagera na Kigoma. Kutokana na ukubwa wa soko na oda kuwa nyingi sana tumeamua kukushirikisha ili uwekeze katika mpango huu na upate faida kutoka kwenye kampuni yetu. 

Tunahitaji kuongeza uzalishaji mara dufu ili tuweze kuwafikia wateja wetu wengi katika mikoa mingine ya Tanzania. Tunahitaji kuongeza Mafundi 10, mashine 10, na materials za kutosha zinazogharimu takribani Million 18. 

Hizi ni baadhi ya picha za jinsi tuanvyozalisha pochi hizo

Designing sample done!
Finishing

Finishing and Packing 

Ukiwekeza kwenye mpango huu utapata kuanzia 10% hadi 15% kulingana na kiasi utakachowekeza kwetu. 

  • Kwa mfano ukiweza kuweka Tsh. 500,000/- kila baada ya mwezi mmoja utapata 50,000/- sawa na 10%
  • Ukiwekeza kuanzia Tsh. 1,000,000/- na kuendelea utapata bonasi ya 5% na kutengeneza 15% kila mwezi na utapata 150,000/-

Faida ya kufanya hivi ni kwamba;
  • Utakuwa ni mmoja wa mmiliki wa kampuni hii
  • Utapata faida ya pesa yako bila kufanya kazi kabisa.
  • Pesa yako itakuwa salama kabisa kwani tuna uhakika wa soko.
  • Utaweza kuchukua pesa yako yote uliyowekeza baada ya miezi mitatu. Kama utahitaji kuongeza mkataba basi utaruhusiwa tena, kama utakuwa umetosheka basi utaweza kusitisha uwekezaji wako.
  • Utakaribishwa kutembelea kiwanda chetu na kujihakikishia uhalali wetu.
KARIBU UWEKEZE KWA FAIDA ZAIDI.

Vigezo vya uwekezaji katika kampuni yetu ni kama ifuatavyo;
  • Lazima uwe raia wa Tanzania
  • Umri kuanzia miaka 18 na kuendelea
  • Unatakiwa kuwa mikoa ya kanda ya ziwa ili uweze kutufikia mara moja kama utahitaji kututembelea, pia hata wale wa mikoa mingine mnakaribishwa kama utatuamini.
  • Unatakiwa kuwekeza kuanzia Tsh. 300,000/- hadi 2,000,000/- 
Kama unakidhi masharti hayo TUNAKUKARIBISHA SANA.


KIWANDA CHETU KINAPATIKANA 

NCHI: TANZANIA
MKOA: MWANZA
WILAYA: KWIMBA-NGUDU
KANDA: YA ZIWA.

Kwa mawasiliano zaidi tupigie;

PIUS JUSTUS MULIRIYE (C.E.O)
0754745798 – Whatsapp
0657128567

FRANCES JUSTUS MULIRIYE (MANAGER&DESIGNER)
0743843745
0717810976



Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *