HIKI NDIO KITU CHA KUFANYA MUDA WA LIKIZO

Habari rafiki mpenda maendeleo,  naamini unaendelea vizuri na harakati za kuboresha maisha yako.
Naamini wewe unayesoma hapa ni mfanya kazi au mwanafunzi au hata mjasiliamali.
Napenda kukudokezea wewe kijana mwenzangu kwamba hiki ndicho unatakiwa kukifanya wakati wa likizo kama wewe ni mfanya kazi au mjisiliamali.

Kama unataka kuongeza kipato chako basi unapaswa kufanya biashara hii ambayo ni rahisi sana kupita maelezo na unaweza kufanya wewe mwenyewe nyumbani kwako.

Biashara hii ni ya utengenezaji wa sabuni ya mche,  bidhaa hii inatumika sana na watu kila siku kwa hiyo soko lake ni zuri sana na utauza sana.

Hii ni sabuni iliyotengenezwa nyumbani na iko tayari kwenda sokoni.

Mchanganyiko wa sabuni ukiwekwa katika box la kutengenezea umbo la sabuni. 

Ninaamini wakati huu wa likizo utakuwa ni muda mzuri wa kujifunza ujuzi huu ambao utakuongezea kipato mara dufu na utafurahia maisha yako.

Sabuni imepangwa ili ikauke. 
Ili ujifunze ujuzi huu tumekuandalia kitabu kizuri ambacho kitakusaidia kujifunza ujuzi huu,  ndani ya kitabu kuna bidhaa nyingine zaidi ya kumi ambazo ni sabuni ya mche,  sabuni ya maji,  sabuni ya chooni,  shampoo,  chaki n.k,  kitabu hiki kitakufundisha hatua kwa hatua jinsi wa utengenezaji wa sabuni hizi na bidhaa nyingine. 
Kitabu hiki kimeandikwa na kimewekwa kwenye mfumo wa PDF ambao utaweza kusoma kwenye simu yako,  karibu ujipatie kopi yako na utatumiwa kwenye simu yako kupitia whatsapp yako. 
Hiki ni kitabu kitakachokufundisha jinsi ya utengenezaji wa sabuni na bidhaa nyingine nyumbani kwako

Haya ndiyo yaliyomo kwenye kitabu.
Kitabu hiki kinauzwa kwa bei nafuu sana ya sh. 5000/- tu,  ninaamini kitabadilisha maisha yako kabisa.
Ukihitaji kopi ya kitabu hiki lipia pesa kupitia Mpesa 0754745798  au Tigo Pesa 0657128567 jina litatokea Pius Muliriye nami nitakutumia kitabu hicho. 
Pia ukinunua kitabu hiki tutakufundisha jinsi ya utengenezaji wa sabuni ya mche mpaka utakapoweza kutengeneza mwenyewe. Karibu tukuhudumie. 
Asante kwa kuwa na mimi mpaka hapa,  naamini wewe uliyesoma mpaka hapa basi maisha yako yatakwenda kubadilika kabisa.  Naamini katika sehemu ulipo hakuna mwenye ujuzi huu,  utakuwa ni wewe tu na utakuwa na soko kubwa. 
Nakutakia kila lakheri katika harakati za kuboresha maisha yako. 
Asante. 
Wasiliana nasi 
Pius Muliriye Justus 
0754745798 
0657128567 
piusjustus28@gmail.com 

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *