SEMINAR YA UTENGENEZAJI WA BIDHAA ZA VIWANDANI

Habari mdau wa maendeleo na msomaji wa Shule Tanzania, Natumai unaendelea vizuri na mapambano ya kuboresha maisha yako.

Leo napenda kuwashukuru wote waliobahatika kuhudhuria semina niliyoiendesha kupitia group langu la Whatsapp,  natumai mmejifunza mambo mengi mazuri juu ya utengenezaji wa sabuni za mche,  sabuni za maji na bidhaa zingine.

Kwa wale ambao hamkubahatika kuona tangazo na mna nia ya kupata elimu hiyo basi usisite kuwasiliana nami kwa no.0754745798 au 0657128567 nitakuunganisha na darasa utajifunza bila shida.

Na hizi nii baadhi ya comments za wadau waliohudhuria seminar hiyo,        
            

Kama unahitaji kujiunga na darasa hili bonyeza link hii kujiunga moja kwa moja.

https://chat.whatsapp.com/22BNsMM6RYFDvivYmTM2nj

Pia ukitaka kujifunza zaidi juu ya ujuzi huu wa utengenezaji wa bidhaa za viwandani kama sabuni za mche,  sabuni za maji,  sabuni ya unga n.k tumekuandalia kitabu kizuri sana kitakachokufundisha hatua kwa hatua jinsi ya utengenezaji wa bidhaa hizo.

 

Kitabu kinauzea kwa bei ya ofa Sh. 5000/- tu,  na baada ya muda kidogo itapanda mpaka 10000/-,  wahi ujipatie nakala yako.

Kitabu hicho kipo kwenye mfumo wa PDF ambao ni rahisi kukisoma kwenye simu yako. Lipia kisha utatumiwa kwenye simu yako kupitia whatsapp au email.

Lipia kupitia MPESA 0754745798, TIGO PESA 0657128567 PIUS MULIRIYE. 

Nikutakie kila lakheri.

Pius Justus Muliriye 
0754745798 
0657128567 
piusjustus28@gmail.com 

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *