Kwanza nikupe hongera sana wewe unayesoma habari hii kwa sababu ni miongoni mwa watu wanaopenda kufatilia mambo na kujifunza.
Nina habari njema sana kijana mwenzangu kwa ajili yako, hii imekuwa ni ndoto yangu kwa muda mrefu na sasa imetimia. Furaha yangu siku zote ni kuona wasomaji wangu wanafaidika na kile nachowaletea kila siku.
Nafahamu zaidi ya aslimia 35 ya vijana kuanzia miaka 15-35 hawana ajira na wanaishi maisha magumu sana na wengi wao wakijiingiza katika mambo mabaya sana kama uvutaji wa bangi na ukabaji na umalaya kwa dada zetu.
Basi hii ni habari njema kwako wewe mwenye ajira au unayesubiri ajira au hata kama huna ajira.
Baada ya kupata mafunzo mbalimbali kutoka taasisi inayofundisha jinsi ya kumiliki kiwanda basi nimeamua kukushirikisha elimu hii hatua kwa hatua katika utengenezaji wa bidhaa mbalimbali za viwandani kupitia kitabu.
Kitabu hiki ni MAALUMU kwa kila mtu anayetaka kutoka kwenye umaskini. Hii ni kwa sababu kitakupa mawazo mapya na mbinu mpya za kufanikiwa. Hakuna mtu ambaye hawezi kufanikiwa kama hatowezeshwa. Watu wengi wanashindwa katika maisha kwa sababu hawana kitu cha kufanya mikononi mwao. Lakini kitabu hiki kitakupatia vipaji na ujuzi wa kutengeneza bidhaa mbalimbali na hatimaye kujipatia kipato kisicho na kikomo.
Katika kitabu hiki utapata kujua jinsi ya kutengeneza bidhaa zifuatazo;
Naamini kitabu hiki kitakuwa na msaada mkubwa sana kwako unayetaka kutengeneza kipato cha ziada bila kikomo.
Kitabu hicho kinapatikana kwa njia ya Soft copy au nakala laini, na utatumiwa kwenye simu yako na utaweza kukisoma bila wasiwasi wowote.
Baada ya kununua kitabu hicho utaunganishwa na darasa ambapo utapewa mafunzo ya jinsi ya utengenezani wa bidhaa hizo kwa mifano na video za hatua kwa hatua.
Kitabu hicho kinauzwa kwa bei ya Sh. 10,000/- tu.
Kama utahitaji nakala yako tuma pesa kwenda
MPESA-0754745798
TIGO PESA-0657128567
kisha tuma meseji hiyo uliyofanya malipo kwenye no.kati ya hizo hapo juu, au tuma Whatsapp 0754745798 kisha twambie tukutumie kwa njia gani kati ya
Wasiliana nasi kupitia
Pius Justus Muliriye
0754745798-WhatsApp.
0657128567
piusjustus28@gmail.com