UJUE MRADI RAHISI SANA UTAKAOKUFAIDISHA KWA HARAKA. (FURSA)

Kila penye tatizo ujue kuna fursa kubwa sana ambayo si wengi wanaiona. Think beyond eye’s limit

Habari msomaji wangu wa SHULE TANZANIA  nina imani hujambo na unaendelea vizuri na harakati zako za kuinua maisha yako.

Karibu katika kona ya kuvumbua miradi yenye faida kubwa lakini watu wengi hawazijui ambazo ni kama migodi ya dhahabu kama utatia nguvu zako na ubunifu wako katika hili.

Mara kwa mara nimekuwa nikikuletea makala tofauti tofauti hasa zile ambazo zinakuelekeza kufanya kitu ambacho kina tija kwenye maisha yako na baadhi ya watu wamechukua hatua na sasa wanafanya vizuri katika biashara walizochagua kuzifanya na biashara hizo zaidi ya 15 nimeziweka ndani ya kitabu kilichoelezea hatua kwa hatua utengenezaji wa bidhaa mbalimbali ambazo zina soko kubwa hapa Tanzania kwa sababu zinatumika kila siku na watu. kama unahitaji kitabu hiki bonyeza >>>hapa uweze kudownload copy yako na uanze mara moja…KITABU.

Baada ya kusema hayo twende moja kwa moja na tuzungumzie mradi mmoja ambao kwa uhakika utaweza kukutoa kimaisha, nimejitolea kufatilia miradi mbalimbali ambayo ni rahisi sana inayoweza kuwatoa watu kimaisha kwa haraka na kuweza kuiweka ndani ya kitabu ambacho kila mtu anatakiwa kuwa nacho ili achague nini anataka kufanya kwa muda huo.
Mradi huo ni MOSQUITO CANDLES (MISHUMAA YA KUFUKUZA MBU).
Kabla sijaendelea kuelezea jinsi ya kuendesha mradi huu, nataka nikupe siri ya kugundua kama mradi husika utakuwa na tija au la!, ukiangalia mradi huo wa kutengeneza mishumaa inayofukuza mbu ni mradi wenye tija sana kwani kwa mazingira yetu kuna mbu wengi sana na watu wanaugua malaria sana, kwa hiyo kwa TATIZO HILO ndipo tunapoona FURSA na umuhimu wa mradi huu, naamini utauza sana mpaka utakimbia mauzo hayo kwani mbu wanasumbua sana, watu wanahangaika na wanashindwa kukaa vizuri kwenye sebule zao, na hata kwenye bustani zao wakati wa jioni kwa sababu ya mbu na wadudu wengine.
Karibu ujifunze jinsi ya kuendesha mradi huu; mradi huu ni rahisi kuuendesha na hauhutaji Mtaji mkubwa, hauhitaji nguvu kazi kubwa na material ya kutengeneza hupatikana kirahisi.

Hebu fikiria ni familia ngapi zimekuzunguka, majirani, vijiji jirani, wilaya nzima na hata mkoa mzima, kwa hiyo una soko kubwa sana na la bila kutetereka kabisa, mshumaa mmoja unaweza ukapata faida ya Sh. 50-70 na ukiweza kusambaza mishumaa yako hadi ukafikia mishumaa 100,000 katika maduka mbalimbali unaweza kutengeneza hadi million 5 (5,000,000) mpaka 7 (7,000,000) ndani ya mwezi mmoja, huu ni mgodi uliojificha na watu wengi hawaujui, na ushindani haupo kabisa, CHANGAMKIA FURSA HII ubadilishe maisha yako. 
kama unataka kuanzisha mradi huu na unahitaji maelekezo zaidi ya jinsi ya kutengeneza product hii basi unapaswa kujipatika copy ya kitabu kinachoelezea hatua kwa hatua jinsi ya kutengeneza bidhaa hiyo pamoja na bidhaa nyingine zaidi ya 15 ndani ya kitabu kimoja. BONYEZA HAPA KUWEZA KUDOWNLOAD KITABU HICHO.
Nipigie simu muda wowote kuuliza kuhusu mradi huu, na nitakushauri vizuri au niext whatsapp 0754745798 nitakuelekeza vizuri. 
Pia ukihitaji kitabu hicho unaweza kuwasiliana nami moja kwa moja nami nitakutumia kwa njia ya email  au whatsapp yako na utaweza kukisoma kwenye simu yako.
Endelea kufuatilia makala hizi kila siku nitakuwa nikikuchambulia miradi mbalimbali ambayo watu wengi hawaijui na inaweza kuwa na faida kubwa sana kwako na hatimaye kujikomboa kutoka katika dimbwi la umasikini.

Asante kwa kuwa nami;

Nakutakia mafanikio mema na utekelezaji mwema;
Wasiliana nasi;
Pius J. Muliriye
0754745798/0657128567

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *