NI BORA KUKOSA LAKINI UNATAFUTA.

Habari ndugu msomaji wa tovuti hii tazama leo ni siku nyingine nzuri ambayo Mungu amekupatia ili uweze kupambana ili kutimiza ndoto zako,nikupongeze kwa kuchukuwa muda wako kusoma makala hii hakika hautabaki kama ulivyokuwa mwanzo,leo nataka kukutia moyo wewe ambae leo uko kwenye wakati mgumu wa kimaisha huenda unaona mambo yako hayaendi,huenda umeshatafuta sana lakini unaona kila sehem imebana nakwambia uiskate tama muujiza wako uko karibu kufika,kwenye maisha ni bora ukose lakini unatafuta kuliko kukaa na kukata tamaa,nikweli muda Fulani maisha yanakuwa magumu sana hadi unaona ni bora ukae tu maana kila njia unaona kama imeziba lakini mimi nakwambia hapana inuka endelea kupambana hadi kieleweke.

 Fursa ya kukuongezea kipato hii hapa SOMA

Siku moja walikuepo vijana wawili waliamua kwenda kutafuta dhahabu machimboni wakaanza kuchimba kijana wa kwanza akachimba kidogo tu akapata dhahabu lakini kijana wa pili akachimba kwa umbali mrefu sana bila kupata dhahabu akaona ni bora aache pale alipokuwa anachimba yeye aende pale alipokuwa nachimba mwenzake labda ndio atapata dhahabu,alichimba huku akitupia udongo pale kwenye shimo lake hakufanikiwa kupata dhahabu,kumbe sasa pale kwenye shimo lake alikuwa amebakiza kidogo tu na yeye apate dhahabu,lakini kwasababu alikata tama akaikosavivyo hivyo kwenye maisha hata kama umehangaika vipi usikate tamaa endelea kupambana nikweli unaweza kuwa unakosa lakini endelea kutafuta ili usirudi nyuma na wewe ukafukia dhahabu yako.Amini kuwa MUNGU anakupenda na anapenda kukuona ukifanikiwa,chamsingi ni kuwa mvumilivu na kuendelea kuatafuta hadi kieleweke hata kama leo unakosa.Hebu jiambie hadi kielewekeeee.

Jipatie kitabu changu ambacho kinaendelea kubadilisha maisha ya wengi, kitabu hiki ni mbadala wa ajira, kinafunfisha hatua kwa hatua jinsi ya utengenezaji wa hidhaa mbalimbali zinazotumika kila siku majumbani kwetu kwa kutumia teknolojia ya kawaida sana, kila mtu anaweza akafanya kwa kufata mwongozo wa kitabu hiki.

Kitabu hiki kinaitwa MILIKI KIWANDA MILIKI UCHUMI. Kitakuelekeza vizuri sana jinsi ya kuanzisha kiwanda kidogo nyumbani kwako na hatimaye umiliki uchumi. Nakuhakikishia, uzakishaji wa hidhaa mwenyewe ni tija kubwa sana kwani unapata faida kubwa sana, ndio maana wenye viwanda wana maendeleo makubwa sana kuliko watu wa rejareja.

Kitabu hiki kipo katika mfumo wa ki-electronic, utakisoma kwenye simu yako kupitia whatsapp au email yako.

Tsh. 5000/-

YALIYOMO KWENYE KITABU HICHO

Kama unahitaji kitabu hicho kilichosheheni madini adimu ya kiutendaji zaidi kuliko stori kama vitabu vingine wasiliana nasi kwa no.0754745798-whatsapp tutakujibu mara moja.
KARIBU SANA.

UNAWEZA KUSIKILIZA VIDEO HII INAYOKUFUNDISHA JINSI YA KUTENGENEZA BIDHAA MOJAWAPO KATI YA NYINGI ZILIZOKO KWENYE KITABU CHA #MILIKI KIWANDA KILIKI UCHUMI.



Ni mwalimu wako katika ujasiriamali
PIUS MULIRIYE JUSTUS
0754745798
piusjustus28@gmail.com

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *