AUDIO BOOKS

AUDIO BOOKS

Pata AUDIO BOOKS(VITABU VILIVYOSOMWA) kwa ajili ya kujifunza na kujihamasisha.
Vitabu hivi vipo kwenye memory kadi ambazo zina ukubwa wa 4GB. Memory kadi hizi unaweza kuweka kwenye simu hata ya mchina na ukapata elimu hii nzuri popote unapokuwa. Pia unaweza kuisikiliza kwenye redio ya gari, redio ya kawaida, dvd player na kifaa chochote ambacho kinaweza kubeba memory kadi.
Hivi sasa kuna memory kadi mbili na zina vitabu tofauti, vizuri sana kwako kujifunza na kujihamasisha ili kuweza kufikia mafanikio makubwa kwenye maisha yako. Vitabu hivi kama ukivisikiliza naweza kukuahidi vitabadili sana maisha yako. Nina uhakika huo kwa sababu mimi ni mfano unaoishi wa manufaa haya.

MEMORY CARD YA KWANZA(MK1)
Memory card hii inajumuisha vitabu hamsini ambavyo vimegawanyika katika makundi mawili.
Kundi la kwanza lina vitabu vifuatavyo;
  1. Cashflow quadrant – R. Kiyosaki
     2. Rich dad poor dad – R. Kiyosaki
     3. Increase your financial IQ – R. Kiyosaki
     4. Freedom or security – R. Kiyosaki
     5. Retire Young Retire Rich – R. Kiyosaki
     6. Brian Tracy – Become an Outstanding Manager
     7. Brian Tracy – 21 Success Secrets of Self-Made Millionaires
     8. Brian Tracy – Get Paid More and Promoted Faster
     9. Brian Tracy – How To Gain 2 Extra Hours a Day
     10. Brian Tracy – 21 Ways to Build a High Profit Business
     11. Brian Tracy – 21 Ways To Get Ahead In Your Career
     12. Brian Tracy – Make a Million
     13. Brian Tracy – The Psychology of Achievement
     14. How To Instantly Connect With Anyone
     15. Napoleon Hill’s Keys To Success
     16. Anthony Robbins – Awaken the Giant Within
     17. Brian Tracy – 21 Great Ways To Manage Your Time And   Double Your Productivity
     18. Zig Ziglar – How To Be A Winner
     19. Zig Ziglar – Success And The Self-Image
     20. Earl Nightingale – Lead The Field
     21. James Allen – As A Man Thinketh
     22. Kerry L. Johnson – Science of Self Discipline
     23. David Lieberman – Get Anyone To Do Anything
     24. Eric Ries – The Lean Startup
     25. Outside Your Comfort Zone – Jeff Lilley

Kundi la pili lina vitabu vifuatavyo;
    1. 100 Ways To Motivate Yourself Change Your Life Forever – Steve Chandler
     2. Anthony Robbins – Lessons in Mastery
     3. Brian Tracy – Eat That Frog
     4. Carol Dweck – Mindset, The New Psychology of Success
     5. Dennis Waitley – Psychology of Winning
     6. Earl Nightingale – Great Ideas
     7. George S. Clason – The richest Man in Babylon
     8. Jim Rohn – Attracting Success
     9. Jim Rohn – Lessons in Leadership
     10. Kerry L. Johnson – Science of Self Discipline
     11. Robert Greene – 48 Laws Of Power
     12. Ross Jeffries – Unstoppable Confidence
     13. THE DIP, A Little Book That Teaches You When to Quit (and When to Stick)
     14. Unlimited Power  The New Science Of Personal Achievement
     15. Zig Ziglar – Goals
     16. 25 Ways to Win with People – John C Maxwell
     17. Becoming a Person of Influence – John C Maxwell
     18. Jim Rohn-Designing your life rather than making a living
     19. Og Mandino-Secrets to Success
     20. Robert Kreigel-If it aint broke–break it!
     21. The 21 Indispensable Qualities of a Leader Unabridged – John C Maxwell
     22. The Success Journey – John C Maxwell
     23. The Winning Attitude – John C Maxwell
     24. Tony Robbins-the decision that ensures your success
     25. We Are All Weird- The Myth of Mass and the End of Compliance

Memory kadi hii bei yake ni tsh elfu thelathini(30,000/=) .  Lakini kutumiwa kwa Whatsapp itakugharimu 10,000/- kwa vitabu vyote hivyo na utavipata kwenye simu yako muda huohuo baada ya malipo.

Kuipata kadi hii au kwa whatsapp tuma fedha tsh elfu thelathini au elfu kumi kwa MPESA 0754745798 au TIGO PESA 0657128567 kisha utapewa au kutumiwa kadi yako.
Kwa wale wa mikoani kadi itatumwa kwa basi hivyo unatakiwa kutuma fedha ya kadi na fedha ya nauli. Nauli ni tsh elfu kumi (10,000/=) hivyo jumla inakuwa tsh elfuarobaini(40,000/=), kadi pamoja na usafiri.

Tumia nafasi hii ya kipekee kuboresha maisha yako, kazi zako, biashara zako na hata ufanisi wako.

Wasiliana nasi Whatsapp 0754745798

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *