TENGENEZA PESA KUPITIA YOUTUBE

Je umeshawahi kujiuliza watu wanatengenezaje pesa kupitia youtube??

Huu ni mfano wa video zangu kupitia youtube zinazoniingizia pesa kila siku.

Kuna njia nyingi sana za kutengeneza pesa kupitia YOUTUBE, na leo nitakuelezea njia kadhaa ambazo mimi pia nazitumia kutengeneza pesa kila siku.

kiwango cha pesa kinatofautiana kulingana na aina ya njia unayoitumia kutengeneza pesa kupitia youtube.

  • Mfano wa njia ya kwanza unayoweza kuitumia ni kupitia MATANGAZO yanayopita kwenye channel yako.

Kupitia matangazo kama hayo unaweza kutengeneza pesa nzuri tu kwa kazi uliyoifanya siku moja ya kurekodi video na kuweka kwenye channel yako na kila siku ikakuingizia kipato. Picha inayoonekana hapa chini ni kiasi cha pesa nimechoingiza kupitia matangazo kama hayo.

  • Njia ya pili ni ile ya kutumia channel yako KUTANGAZA BIDHAA ZAKO. Hii ndio njia ambayo nakushauri uifanyie kazi sana kwani ndio njia inayoweza kukuingizia pesa nyingi sana kuliko kawaidia. Hii ndio njia ambayo imenisaidia kubadili maisha yangu. Baada ya kufanya utafiti kwa muda mrefu nikagundua njia hii kuwa ndo itakuwa mkombozi wangu na nikaanza kuifanyia kazi na sasa inanipatia peza nzuri ya kuendesha maisha yangu. Katika picha hapa chini utaona screenshot ya mauzo yangu kwa muda flani, hii ni mfano wa pesa niliyoingiza mimi, na wewe kama utafanyia kazi utaweza kupata pesa zaidi ya hizo unazoziona, cha msingi ni wewe kuchukua hatua mara moja.

Kama unavyoona hapo juu hiyo ni pesa niliyoingiza online kupitia kutangaza bidhaa yangu ambayo imeuzika kupitia youtube kwa kutumia kampuni ambayo inasaidia kupokea pesa online. Kazi hiyo imefanyika mimi nikiwa siko online, usiku na mchana system imekuwa ikinifanyia kazi bila mimi kuwepo. Hiyo ndiyo nguvu ya mtandao.

Ni kazi ambayo hata wewe unaweza kufanya.

  • Je ungependa kuanza kutengeneza kipato kupitia YOUTUBE??
  • Je ungehitaji msaada juu ya hili??
  • Je ungependa PIUSJUSTUS.COM ikusaidie kukutengenezea channel ya youtube na kukuunganisha na system itakayokuwa ikikusanya pesa badala yako?

Kama utapenda nikusaidie kukutengenezea yote hayo na kukukabidhi channel ya YOUTUBE ikiwa tayari, wasiliana nasi kwa whatsapp | 0659908078 au tuandikie email piusjustus28@gmail.com nasi tutakupa utaratibu wa kazi.

ASANTE, NIKUTAKIE SIKU NJEMA,

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *