Jifunze jinsi ya kutengeneza Chaki nyumbani kwako, ndani ya kitabu hiki utajifunza yafuatayo;
- Jinsi ya kutengeneza chaki nyumbani kwako
- Jinsi ya kutafuta soko la chaki
- Utajua vifaa muhimu vinavyotakiwa katika utengenezaji wa chaki.
- Utajua jinsi na wapi pa kuweza kupata mashine kwa bei ndogo unayoweza kuimudu.
- Utajua ni wapi utaweza kupata vifungashio na kwa gharama gani.
- Utajua mchanganuo wa gharama za uzalishaji na faida yake kwa siku na kwa mwezi.
Reviews
There are no reviews yet.