JINSI YA KUTENGENEZA BIDHAA MBALIMBALI

Maarifa yaliyojitosheleza ya Jinsi ya kutengeneza bidhaa mbalimbali za viwandani.

Waliojiunga hadi sasa
Wanafunzi waliojisajiri
1

Kama hujafanya malipo ya kujiunga na darasa hili, tafadhari wasiliana nasi ili uweze kulipia na uingie darasani sasa hivi kabla OFFA ya leo haijaisha.

Ndani ya Kozi hii utajifunza yafuatayo;

Jinsi ya kutengeneza BATIKI nyumbani kwako.

Katika Mada hii utajifunza hatua kwa hatua jinsi ya kutengeneza Batiki aina zote yaani TYE&DYE, BLITCH, PRINTING NA MSHUMAA.

Jinsi ya kuTENGENEZA SABUNI ZA MAGADI

Katika Mada hii Utajifunza namna nzuri sana ya kuweza kutengeneza Sabuni za magadi kwa njia rahisi kabisa.

JINSI YA KUTENGENEZA SABUNI YA MCHE.

Katika Mada hii utaweza kuona jinsi ya kutengeneza Sabuni za Kipande hatua kwa hatua.

JINSI YA KUTENGENEZA SABUNI ZA MAJI

Ndani ya Mada hii utaweza kuona hatua kwa hatua jinsi ya kutengeneza Sabuni za Maji.

Utajua JINSI YA KUTENGENEZA PERFUME

Pia utaweza kuona hatua kwa hatua jinsi ya kutengeneza Perfume/Body spray

Utajua JINSI YA KUTENGENEZA MAFUTA YA MGANDO YA KUJIPAKA

Katika mada hii utaweza kuona hatua kwa hatua Jinsi ya kutengeneza Mafuta ya Mgando.

Utajua JINSI YA KUTENGENEZA CHAKI.

Katika mada hii utaweza kuona hatua kwa hatua Jinsi ya kutengeneza chaki kwa njia rahisi

Unaweza ukawa na wasiwasi kuwa utaenda kujifunza nini ndani yake. Basi nakuwekea hapa mfano wa kile utakachoenda kujifunza ndani, Tazama sasa.

WalioJINYAKULIA KOZI hII wanasema hivi;

Napenda nitoe shukrani zangu kwako mwal. Pius, umenisaidia sana na nimefanikiwa sana kupitia video zako, asante sana na Mungu akubariki sana.
Edward Charles
(Ukerewe)
"Kaka Pius asante sana kwa kiozi hii, imenipatia maarifa makubwa sana kiasi kwamba najiona naenda kuwa mtu wa tofauti sana, nashukuru pia kwa uaminifu wako, kwakweli umeniifanya niwe mtu wa tofauti sana
Joyce Alloyce
(Dar es salam)
Sasa nimefanikiwa kutengeneza chaki kupitia kozi hii, na mashine uliyoniuzia nimefanikiwa kuitumia, na sasa nimeingiza mzigo wa kwanza sokoni, nimeanza kuiona faida. Asante sana kwa maarifa hayo.
Peter Elikana
(Morogoro)
Hakika mafundisho yako ndani ya kozi hii yamenipa mwanga sana kaka, soon nitakutafuta uniuzie mashine ya chaki, nataka nianze mradi huu, nimeshaona huku niliko hakuna watengenezaji, soko liko wazi kabisa.
Frank Charles
(Kasulu)
Thnx Mr. Pius for the course, its awaresome, am going to impliment every thing is in the course, God bless you sir.
Bradley Morris
(Nairobi)
Asante sana kaka Pius kwa mafunzo yako, yamenisaidia sana hadi sasa nategemea biashara hii kwa asilimia 100.
Sofia Mutashobya