Kitabu hiki kinalenga kuwakwamua vijana wa kitanzania, kwa kuwapa ujuzi wa kujiajiri wenyewe kwa mitaji midogo bila kuitegemea serikali pale wanapomaliza masomo yao au kwa kutumia muda wao wa ziada, na lwa wale ambao tayari wako mtaani.
Bonyeza DOWNLOAD hapa chini kukipata KITABU hiki moja kwa moja kwenye simu yako.