PJ PROJECTS

MILIKI KIWANDA MILIKI UCHUMI

BONYEZA HAPA CHINI KUPAKUA KITABU CHAKO MOJA KWA MOJA KWENYE SIMU YAKO KWA BEI YA OFFA LEO

Ukishabonyeza DOWNLOAD fuata maelekezo yote na utaweza kukipata kitabu chako na anza kujifunza.
Zilizopakuliwa hadi sasa
1

Tazama Video hii ya jinsi ya kutengeneza SABUNI

Ndani ya Kitabu hiki Utajifunza Yafuatayo;

JINSI YA KUTENGENEZA SABUNI ZA MCHE/KIPANDE

Katika mada hii utajifunza jinsi ya kutengeneza sabuni za kipande kuanzia hatua ya kwanza hadi ya mwisho.

Jinsi ya kutENGENEZA SABUNI ZA MAGADI/GWANJI

Katika mada hii utajifunza jinsi ya kutengeneza sabuni za magdi kuanzia hatua ya kwanza hadi ya mwisho. Lakini pia utaelekezwa na kupewa namba za wauzaji wa malighafi wa mikoa mbalimbali.

JINSI YA KUTENGENEZA SABUNI ZA MAJI

Katika mada hii utajifunza jinsi ya kutengeneza sabuni za maji mwanzo hadi mwisho

jinsi ya kutengeneza chaki

Katika mada hii utajifunza jinsi ya kutengeneza chaki kwa njia rahisi kabisa.

jinsi ya kutengeneza shampoo

katika mada hii utajifunza jinsi ya kutengeneza shampoo.

MASOMO MENGINE

Hayo ni baadhi ya masomo yaliyomo ndani ya kitabu hiki, kuna takribani masomo zaidi ya 20. Masomo hayo ni kama vile SABUNI ZA MWAROBAINI, SABUNI ZA PARACHICHI, SABUNI ZA PAPAI, JIKI, N.K. nunua Download sasa kukipata kwenye simu yako.

Waliopata kitabu hiki wanasema hivi;

Napenda nitoe shukrani zangu kwako mwal. Pius, umenisaidia sana na nimefanikiwa sana kupitia kitabu chako, asante sana na Mungu akubariki sana.
Edward Charles
(Ukerewe)
"Kaka Pius asante sana kwa kitabu hiki, kimenipatia maarifa makubwa sana kiasi kwamba najiona naenda kuwa mtu wa tofauti sana, nashukuru pia kwa uaminifu wako, kwakweli umeniifanya niwe mtu wa tofauti sana.
Joyce Alloyce
(Dar es salam)
Sasa nimefanikiwa kutengeneza chaki kupitia kitabu chako, na mashine uliyoniuzia nimefanikiwa kuitumia, na sasa nimeingiza mzigo wa kwanza sokoni, nimeanza kuiona faida. Asante sana kwa maarifa hayo.
Peter Elikana
(Morogoro)
Hakika mafundisho yako ndani ya kitabu yamenipa mwanga sana kaka, soon nitakutafuta uniuzie mashine ya chaki, nataka nianze mradi huu, nimeshaona huku niliko hakuna watengenezaji, soko liko wazi kabisa.
Frank Charles
(Kasulu)
Thnx Mr. Pius for the book, its awaresome, am going to impliment every thing is in the book, God bless you sir.
Bradley Morris
(Nairobi)