PJ PROJECTS

JINSI YA KUTENGENEZA CHAKI

Maarifa yaliyojitosheleza ya Jinsi ya kuanzisha mradi wa Chaki

VIDEO YA JINSI YA KUTENGENEZA CHAKI

Zilizopakuliwa hadi sasa
Zilizopakuliwa hadi sasa
1

Ndani ya Kitabu hiki Utajifunza Yafuatayo;

Jinsi ya kutengeneza chaki nyumbani kwako.

Katika Mada hii utajifunza hatua kwa hatua jinsi ya kutengeneza Chaki bora kabisa.

Jinsi ya kutafuta soko la chaki

Katika Mada hii Utajifunza namna nzuri sana ya kuweza kupata Soko la bidhaa hii ya Chaki.

Utajua vifaa muhimu vinavyotakiwa katika utengenezaji wa chaki

Katika Mada hii utaweza kuona vifaa muhimu vinavyotumika kutengenezea Chaki.

Utajua jinsi na wapi pa kuweza kupata mashine kwa bei ndogo unayoweza kuimudu.

Ndani ya Mada hii utaweza kuona mashine mbalimbali zenye bei ndogo na kubwa kulingana na uwezo wako.

Utajua ni wapi utaweza kupata vifungashio na kwa gharama gani.

Pia utaweza kuona bei za vifungashio vya chaki, kama vile box ndogo na catton Box

Utajua mchanganuo wa gharama za uzalishaji na faida yake kwa siku na kwa mwezi.

Katika mada hii utaweza kuona mchanganuo wote wa mradi huu, kuanzia mtaji hadi faida utakapoingia sokoni.

Waliopata kitabu hiki wanasema hivi;

Napenda nitoe shukrani zangu kwako mwal. Pius, umenisaidia sana na nimefanikiwa sana kupitia kitabu chako, asante sana na Mungu akubariki sana.
Edward Charles
(Ukerewe)
"Kaka Pius asante sana kwa kitabu hiki, kimenipatia maarifa makubwa sana kiasi kwamba najiona naenda kuwa mtu wa tofauti sana, nashukuru pia kwa uaminifu wako, kwakweli umeniifanya niwe mtu wa tofauti sana.
Joyce Alloyce
(Dar es salam)
Sasa nimefanikiwa kutengeneza chaki kupitia kitabu chako, na mashine uliyoniuzia nimefanikiwa kuitumia, na sasa nimeingiza mzigo wa kwanza sokoni, nimeanza kuiona faida. Asante sana kwa maarifa hayo.
Peter Elikana
(Morogoro)
Hakika mafundisho yako ndani ya kitabu yamenipa mwanga sana kaka, soon nitakutafuta uniuzie mashine ya chaki, nataka nianze mradi huu, nimeshaona huku niliko hakuna watengenezaji, soko liko wazi kabisa.
Frank Charles
(Kasulu)
Thnx Mr. Pius for the book, its awaresome, am going to impliment every thing is in the book, God bless you sir.
Bradley Morris
(Nairobi)