PJ PROJECTS

ASANTE SANA KWA KUNUNUA KITABU HIKI

BONYEZA HAPA CHINI KUPAKUA KITABU CHAKO MOJA KWA MOJA KWENYE SIMU YAKO

Ukishabonyeza DOWNLOAD nenda kwenye simu yako angalia file la DOWNLOADS utakuta kitabu chako. ASANTE.
Zilizopakuliwa hadi sasa
1

Tazama Video hii ya jinsi ya kutengeneza SABUNI

Ndani ya Kitabu hiki Utajifunza Yafuatayo;

JINSI YA KUTENGENEZA SABUNI ZA MCHE

Katika mada hii utajifunza jinsi ya kutengeneza sabuni za kipande kuanzia kuandaa hadi kutengeza bidhaa yenyewe.

Jinsi ya kutENGENEZA SABUNI ZA MAGADI

Katika mada hii utajifunza jinsi ya kutengeneza sabuni za magdi kuanzia hatua ya kwanza hadi ya mwisho

JINSI YA KUTENGENEZA SABUNI ZA MAJI

Katika mada hii utajifunza jinsi ya kutengeneza sabuni za maji mwanzo hadi mwisho

jinsi ya kutengeneza chaki

Katika mada hii utajifunza jinsi ya kutengeneza chaki kwa njia rahisi kabisa.

jinsi ya kutengeneza shampoo

katika mada hii utajifunza jinsi ya kutengeneza shampoo.

MASOMO MENGINE

Hayo ni baadhi ya masomo yaliyomo ndani ya kitabu hiki, kuna takribani masomo zaidi ya 20. nunua Download sasa kukipata kwenye simu yako.

Waliopata kitabu hiki wanasema hivi;

Napenda nitoe shukrani zangu kwako mwal. Pius, umenisaidia sana na nimefanikiwa sana kupitia kitabu chako, asante sana na Mungu akubariki sana.
Edward Charles
(Ukerewe)
"Kaka Pius asante sana kwa kitabu hiki, kimenipatia maarifa makubwa sana kiasi kwamba najiona naenda kuwa mtu wa tofauti sana, nashukuru pia kwa uaminifu wako, kwakweli umeniifanya niwe mtu wa tofauti sana.
Joyce Alloyce
(Dar es salam)
Sasa nimefanikiwa kutengeneza chaki kupitia kitabu chako, na mashine uliyoniuzia nimefanikiwa kuitumia, na sasa nimeingiza mzigo wa kwanza sokoni, nimeanza kuiona faida. Asante sana kwa maarifa hayo.
Peter Elikana
(Morogoro)
Hakika mafundisho yako ndani ya kitabu yamenipa mwanga sana kaka, soon nitakutafuta uniuzie mashine ya chaki, nataka nianze mradi huu, nimeshaona huku niliko hakuna watengenezaji, soko liko wazi kabisa.
Frank Charles
(Kasulu)
Thnx Mr. Pius for the book, its awaresome, am going to impliment every thing is in the book, God bless you sir.
Bradley Morris
(Nairobi)