PIUS JUSTUS MULIRIYE
Pius Justus Muliriye ni mjasiriamali, mwandishi, mhamasishaji na mnenaji ambae ameamua kufanya kazi hii ya kuhakikisha kua unapiga hatua katika kuinua kipato chako kila siku kupitia anachokiandika na kukinena.
Karibu sana ukutane naye kwenye kitabu hiki cha “jinsi ya kutengeneza Chaki.”
Ni imani yangu kuwa maisha yako hayatakuwa kama yalivyokua baada ya kusoma kitabu hiki.
Mwandishi ameandika pia vitabu kadhaa ambavyo vimekuwa msaada mkubwa sana kwa watu wengi, miongoni mwa vitabu hivyo ni pamoja na kitabu maarufu sana cha MILIKI KIWANDA MILIKI UCHUMI ambacho kinazungumzia jinsi ya kutengeneza bidhaa mbalimbali za viwandani zaidi ya 30, na kitabu hiki kimeuzika ndani na nje ya nchi, takribani copy 23,231 zimeuzwa.
Kitabu hiki kinapatikana kwa mfumo wa SOFTCOPY ambapo unaweza kukipata kupitia Whatsapp katika simu yako ya mkononi. kwa kuwasiliana nasi Whatsapp 0754745798, au unaweza kupakua moja kwa moja kwenye simu yako kwa kubonyeza DOWNLOAD hapa chini.