Pius Justus

HIVI NDIVYO UNAVYOWEZA KUFAIDIKA NA KIWANDA KIDOGO CHA KUTENGENEZA CHAKI NYUMBANI KWAKO.

Habari rafiki yangu mpendwa na mfuatiliaji wangu wa website yangu hii ya ShuleTanzania.Wajibu wangu ni mmoja tu wa kukuletea fursa za biashara ambazo zinaweza kubadilisha maisha yako kabisa kutoka hapo ulipo mpaka pale ulipopatarajia. Baada ya kuandika kitabu changu cha JINSI YA UTENGENEZAJI WA BIDHAA ZA VIWANDANI leo nakuletea kitabu kingine ambacho kimeelezea kwa kina […]

HIVI NDIVYO UNAVYOWEZA KUFAIDIKA NA KIWANDA KIDOGO CHA KUTENGENEZA CHAKI NYUMBANI KWAKO. Read More »

MICHELLE OBAMA ANAKUPA SOMO LA KUWEZA KUFANIKIWA!

Kipindi kigumu cha kutokuwa na fedha… Unapokatiza mitaani katika kona mbalimbali nchini, kilio cha wengi ni kwamba wapo kwenye kipindi kigumu cha kutokuwa na fedha mifukoni kwa sababu mbalimbali. Watu wanasema serikali imeamua kuwanyoosha ili watu wawe na nidhamu ya matumizi ya fedha. Lakini wakati unapojiuliza namna ya kutoboa unaweza kupata somo zuri la mafanikio

MICHELLE OBAMA ANAKUPA SOMO LA KUWEZA KUFANIKIWA! Read More »

HIKI NDIO KITU CHA KUFANYA MUDA WA LIKIZO

Habari rafiki mpenda maendeleo,  naamini unaendelea vizuri na harakati za kuboresha maisha yako.Naamini wewe unayesoma hapa ni mfanya kazi au mwanafunzi au hata mjasiliamali.Napenda kukudokezea wewe kijana mwenzangu kwamba hiki ndicho unatakiwa kukifanya wakati wa likizo kama wewe ni mfanya kazi au mjisiliamali. Kama unataka kuongeza kipato chako basi unapaswa kufanya biashara hii ambayo ni

HIKI NDIO KITU CHA KUFANYA MUDA WA LIKIZO Read More »

MAMBO MATANO WANAYOYAFANYA WATU WALIOFANIKIWA KILA SIKU (FIVE THINGS SUCCESSFUL PEOPLE DO EVERY DAY)

Habari mdau wa maendeleo, natumai u mzima wa afya ya kutosha, ni jambo la kumshukuru Mungu kwa neema hiyo, na kama hautakuwa salama basi usijali ni changamoto za maisha tu, hayo ni mapito na kila kitu kitakuwa sawa tu. Leo ninapenda nikushirikishe mambo matano (5) muhimu katika maisha ambayo kila aliyefanikiwa katika Nyanja ya maisha

MAMBO MATANO WANAYOYAFANYA WATU WALIOFANIKIWA KILA SIKU (FIVE THINGS SUCCESSFUL PEOPLE DO EVERY DAY) Read More »

SEMINAR YA UTENGENEZAJI WA BIDHAA ZA VIWANDANI

Habari mdau wa maendeleo na msomaji wa Shule Tanzania, Natumai unaendelea vizuri na mapambano ya kuboresha maisha yako. Leo napenda kuwashukuru wote waliobahatika kuhudhuria semina niliyoiendesha kupitia group langu la Whatsapp,  natumai mmejifunza mambo mengi mazuri juu ya utengenezaji wa sabuni za mche,  sabuni za maji na bidhaa zingine. Kwa wale ambao hamkubahatika kuona tangazo na

SEMINAR YA UTENGENEZAJI WA BIDHAA ZA VIWANDANI Read More »

NYARAKA ZA ELIMU

1. Hii ni hotuba ya makadirio ya bajeti ya wizara ya Elimu kama ilivyowasilishwa na Mh, Joyce Ndalichako.  Kuidownload bonyeza hapa>>HOTUBA YA MAKADIRIO YA BAJETI YA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI 2016/2017. 2. Unaweza sasa kuangalia nyaraka mabalimbali za Wizara ya Elimu Tanzania hapaMINISTRY OF EDUCATION DOCUMENTS.

NYARAKA ZA ELIMU Read More »